Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
- Thread starter
- #261
Kujifanya ni pretending, yaani kujifanya unamsimamo lakini huna uwezo huo. Chadema siku zote wanajifanya kususa wakati hawana uwezo huo. Angalia bandiko hili ni la lini, CHADEMA yakubali yaishe! yamtambua Rais, yampongeza Rais, that was uchaguzi wa 2010, walipoitwa Ikulu, walifakamia!.Unaposema "wanaojifanya vidume" haudhani ni dharau! "Kujifanya" si kitu halisi na "kidume" si kitu halisi bali vyote ni viigizo havina sifa ya uhalisia, kama unaongea lugha ya kisheria huko siwezi kukukatalia kwani siijui.
Uchaguzi Mkuu wa 2015 wakasema mgombea wao akishindwa ila kura zake wakapata mgombea wa CCM!. Hivyo wakasusa!.
Uchaguzi wa 2020 wakashindwa tena na kususa tena, nikawashauri Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!. kumbe Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!
P