If we must pay ‘Dowans,’ here is how to raise the spondulics! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

If we must pay ‘Dowans,’ here is how to raise the spondulics!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kibanga Ampiga Mkoloni, Jan 2, 2011.

 1. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Wadau naona hii imekaa vizuri ili kuleta usawa kwa watu wote na wengine pia wasikie machungu wa haya MADUDU ya KIKWETE( Mmiliki wa UFISADI wote NCHI hii).

  "If Tanzania must pay ‘Dowans’ (through the nose), then I propose the Government should use the billions it regularly pays out to MPs as sitting allowances, Constituency development funds and end-of-term bonuses… As well as the billions more it shells out every month in political party subsidies…"

  By Karl Lyimo, Sunday, 02 January 2011 08:26 ,If we must pay
   
 2. Nyangomboli

  Nyangomboli JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  You are right, but why paying all this money to dowans while we all knows that it was a fake company with fake contract?
   
 3. DJ BABU

  DJ BABU JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza batueleze dowans ya nani
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  nadhani wakikamuliwa wabunge, mawaziri na posho zikibanwa watasema tu!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Aisee ni kweli kabisa,vyama vya siasa(hasa chama tawala),baraza la mawaziri(hasa waziri wa nishati),ofisi ya mwanasheria mkuu.
  Wananchi wa kawaida waepushwe na mzigo huu.
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  This is the fantastic thought, however iwe posho ya wabunge wa CCM tu maana ni kosa la serikali yao
   
 7. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Are we talking about where we are going to raise fund for this ****ing mission, or how to reject the whole mission and to catch to the court all the counterpart?
   
 8. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Haya tunaongea/andika kwa kujifurahisha.
  Tumekalia mdeki (samahani kwa ambao hawakupita JKT). Mkataba kisheria ni halali, na tunatakiwa kulipa. Inauma, lakini ndio hivyo. TUMELIWA. Tutalipa sisi wote kwa kodi zetu.
   
 9. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nafikiri kila mwananchi alazimishwe kulipa cash (eg 10,000). Pesa isipotosha serikali iongezee. Lengo ni kufanya wananchi wajue kila kosa la mtawala linakula kwao! Halafu ikija 2015 watakuwa na akili nzuri zaidi ya kutumbukiza kijani au vinginevyo ndani ya box! Ni ushauri tu wa jinsi ya kugawana maumivi
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Have you thought about the alternative, which is refusing to pay? If we do, it will be at our own peril. Think about it!
   
Loading...