If Trump wins election

If Trump wins election

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
3,277
Reaction score
8,554
Itakuwa hivi...
 

Attachments

  • IMG_20160319_011707_116.JPG
    IMG_20160319_011707_116.JPG
    60.9 KB · Views: 54
Trump hapati kitu...!
...ana nafasi kubwa ya kushinda kulinganisha na wengine japo kuna wamarekani wengi wasiompenda kabisa lakini wanaomfagilia ni wengi zaidi..
Sipati picha huyo jamaa kama kweli akiwa rais na kutokana na ushawishi wa Marekani katika siasa za dunia, basi ni mawili kati ya haya;
Ama dunia itakuwa sehemu salama zaidi ya kuishi au anaweza akaharibu sana mambo kutokana na misimamo yake
 
Trump akishinda uraisi itakuwa ajabu la nane
 
Trump anashinda na ndiye atakayekuwa Rais wa U.S.
 
Back
Top Bottom