Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Kuna watu wanataka kujifanya Rockfeller wa USA .Prof Mkenda anayo maswali ya kujibu. Hizi ni pesa za watanzania zinatoa impact kwa watoto wa kitanzania. Kuiita samia si sawa maana watoto wetu wanatoka na mind set kuwa wamefadhiriwa na.samia .its not rightRais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Hata Samia Scholarship haimaanishi pesa ni zakeYale ni majina ya heshima kutokana na utumishi wao umaarufu wao....Kawawa road haimaanishi kwamba hiyo barabara imejengwa na Kawawa.......
Kwa hio kwa hisani ya watu Marekani mnaona sawa ila Samia nongwaa heheKuna watu wanataka kujifanya Rockfeller wa USA .Prof Mkenda anayo maswali ya kujibu. Hizi ni pesa za watanzania zinatoa impact kwa watoto wa kitanzania. Kuiita samia si sawa maana watoto wetu wanatoka na mind set kuwa wamefadhiriwa na.samia .its not right
Mara sijui ...Karibu Mandonga, Manara, msanii fulani kaalikwa bungeni.. etc.. hivi kweli bunge la watz mko serious mkitumia kodi za wananchi,badala ya kujadili maswala ya msingi yenye tija na kutatua matatizo lukuki ya nchi, ili kupata maendeleo ????. Jamani punguzeni ' commedy ili Kazi iendelee.Nchi ambayo CHAWA anaalikwa bungeni kama mgeni wa heshima na watunga sheria wanamshangilia kama shujaa
Ungekaa kimya mkuu... sasa umeongea tumejua ukoje kichwani.Maswali ya kijinga. Heshima ya mtu usiichezee kisiasa kwa vile tu CUF na CHADEMA bado hamjapara Rais. Kwani Ziwa Victoria alitoa ndoo ngapi za maji kulijaza? Duke of York alijenga tofali ngapi New York? Ni heshima ya mtu, akisema NO itakuwa NO kwa sababu tulimpa madaraka hayo tulipomchangua, akamshinda tundulissu 87%/13%. Kama ingekuwa the other way round tungekuwa na Makanikia Bridge
Hisani ya marekani ni kwa hisani kweli siyo gangwe mmoja anarukia public fund na kupachika jina we vipi. Watawala wa kiafrica haya mkiyaacha mtakuja kulilia chooni hata huko marekani huwezikurukia public fund wakakuacha.Kwa hio kwa hisani ya watu Marekani mnaona sawa ila Samia nongwaa hehe
It's how we operate. How we treat our leaders. Godlike. It's as if every cent they approve it's coming from the pockets!Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Atumie fedha zake sio za umma kwenye kufund idea yake.Samia scholarships maana yake ni wazo la Samia kaja na wazo la ufadhili Kwa vipanga wa paper ya kidato Cha SITA Kwa masomo ya science
Hizo ni fedha zilizopitishwa na kuidhininishwa na Bunge , ingeweza kuitwa jina lolote lile.Kwanini tunaita stendi Magufuli wakati ni pesa ya umma au nyerere road wakati ni barabara ya umma
Why not?Rais Samia pesa anatoa wapi za kuwapa watu ufadhili? Au sijaelewa? If it is government funds, why call it Samia scholarships?
Wewe tumia yako, unangoja nini.Atumie fedha zake sio za umma kwenye kufund idea yake.