SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,080
- 75,440
Na wewe unapata mkate wako wa siku kwa kumsifu na kumuabuduWapingaji wa Magufuli wengi wanasumbuliwa na njaa ukifatilia wengi either maslahi yao yameminywa au wanapata mkate wa kila siku kwa kumpinga JPM.
Kamuulize Magufuli. Sijawahi kuitetea.Vipi chato airport imekuja na mpango upi mkuu?
Hahaha kulikuwa na,wagombea 40, yeye akatangazwa kushinda hatukujua alimshinda nani kwa utaratibu upi, atapata shida sanaa.Labda bavicha waliojazana jf
Utajuaje wakati wewe ni bavichaHahaha kulikuwa na,wagombea 40, yeye akatangazwa kushinda hatukujua slimshinda nani kwa utaratibu upi, atapata shida sanaa.
Hahaha ubavicha umenisingizia tu, lakini na upokea. Anadai yeye ni rais wetu sote. Lakini hakuchaguliwa chamani, alipitishwa bila kupingwa kwa nguvu. Huku NEC wakamtangaza, na walituambia wao wakisha mtangaza hakuna anayepinga. Tungefanyaje sasa tunampinga hamtaki.Utajuaje wakati wewe ni bavicha
Hahaha ndio sisiLabda bavicha waliojazana jf
Kwa hiyo hata mambo mazuri apinge tuu!!??Utampangiaje mpinzani cha kupinga ?!.
ππππππΎKamuulize Magufuli. Sijawahi kuitetea.
This is not a binary issue kwamba ukipinga Bagamoyo lazima uwe team Chato.
Inawezekana nikaona zote ujinga tu.
Watu wanapinga dictatorship, hawapingi mambo mema anayoyafanya. Wanachopinga kubwa kwanza ni kunyimwa uhuru wa kuihoji serikali yao bungeni na uraiani . Pili wasiojulikana na shughuli zao. Tatu vyama pinzani kutakiwa kuwaabudu ccm !!Kwa hiyo hata mambo mazuri apinge tuu!!??
Labda nikuambia kuwa kupinga ni kutokubaliana na suala husika kwa maslahi mapana ya taifa..
Kama mtu akipatia na kufanya vizuri unasema kakosea tambua kwamba siku akikosea ukimuambia kakosea hatotilia maanani
Ndio maana hamsikilizwi kwa upumbavu wa namna hii.
Nakubaliana na JPM aliposema ukiona mpinzani anakusifia rudi nyuma uangalie umekosea wapi....
Kweli JPM jembe aliyajua haya mapema