INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,271
Haya ni maneno yaliyosemwa na papa mpya Jorge Mario Bergoglio,alipo mwandikia mpenzi wake Amalia Damonte wakati huo wakiwa na umri wamiaka kumi na mbili,kwa bahati mbaya lengo la papa FransisI la kumuoa bibi huyo halikutimia baada ya baba yake Amalia Damonte kuikamata barua hiyo
Kati ya mambo aliomwahidi ni mpatia nyumba amboyo aliichora kwenye karatasi ikiwa na paa lenye langi nyekudu,
haya ndio maelezo ya bibi kizee huyu sweetheart wa utotoni wa Pope""He had drawn for me a house which had a red roof and said that it was the house he was going to buy for me when we were married. "I never saw him after that - my parents kept me away from him and did everything possible to separate us."
Read more: Pope's childhood sweetheart reveals their lost love | The Sun |News
ANGALIZO:Sijaleta taarifa hii kudhihaki,kukera au kupotosha..!!