Ila msijidanganye. Wanawake nao hawawezi kuvumilia kihivyo. Matter of fact, wakijua hutakuwepo kwa muda flani na wakihakikisha kuwa itabakia kuwa siri, na wanaibia kama wanaume wanavyoibia.
Ni dhana potofu na iliyopitwa na wakati kudhania wanawake ni wavumilivu na wanaibia kwa kiwango kidogo kuliko wanaume. Nyie wanaume endeleeni kujidanganya tu.