If black is beautiful, then why do women use skin-lightener

If black is beautiful, then why do women use skin-lightener

black is always beautiful...............but white is wonderful...............!!!!!!!!!!!!:smile-big:
 
tatizo mweupe ata akiwa mbaya anaonekana mzuri. tuwasubiri wasukuma waje kutueleza
 
if u believe that black is beautiful, u will never use that stuff. wanaotumia hayo makitu obviously hawaamini katika huo msemo.
 
Uzuri wa mtu haupo kwenye rangi.

Hao wanaojichubua hawajitambui na wanajidharau wenyewe

maranyingi watu wa hivyo ni watu wasio ridhika kwa chochote.

Halafu hizo skin lightener, mbona hata wazungu hutumia.
 
Me ni black, tena black yenyewe si masihara, but l love my colour, n l dont use those products. Niliwai uliza wachache wanaotumia hiyo kitu, wakanipa jibu kuwa kulight na kuchubua ni vitu viwili tofauti. Kulight mtu anaweza kubaki na rangi yake nyeusi but ikamng'arisha na kuwa na ngozi ya kuvutia though sina uhakika na hilo.
 
ujinga/ushamba/ulimbukeni 2!kubadirisha rangi ya mwili wako manaake hunajiamini
Na kansa za ngozi zinawahusu waache waendelee kutumia.
 
Back
Top Bottom