IE10 imetoka kwa Windows 7

IE10 imetoka kwa Windows 7

mloitumia hebu tupen highlight kidogo nipo mbali na pc kuna html5? Inahitaji flash kustream? Maana nimechoka na adobe flash player yangu kucrash
 
Interet Explorer hata mimi kwa kweli hazipandi nayo javascript yake inakula sana mda hata kwenye kwenye windows mobile ni shida tu inakula space ya bure labda kwenye maswala ya security lakini kiujumla inaboa na kuiondoa kwenye pc ni ishu labda niwape tricks.
 
Next step for IE, Kama walioitumia wanareport matatizo yake, ni vyema kusubiri mpaka itoke full version kwa kuwa hii ni Preview wanavyosema. Ila ni vyema kuwa wanapiga hatua zaidi.
 
halafu IE huwa inaking'ang'anizi sana mi sitaki iwe default browser na nshaset browser nyingine lakini yenyewe utaiona kila mara inataka iwe default browser.
 
Dah,hata sikumbuki kwa mara ya mwisho nilitumia lini IE.
Halafu,mbona haipo kwenye updates za MS,au yenyewe ni standalone?
 
hivi ni preview kwenye windows 7 tuu au manake Windows 8 ina IE 10 na haioneshi kama ni preview ndo inakuaje hapo?

Capture.PNG
 
Back
Top Bottom