IDS-UDSM badilikeni

Hakuna institute yenye utendaji wa kiwaki kama hapo ids.
Wanafanya kazi kilocal sana na kwa taratibu mno bila kujali muda wa wengine.
Miaka 6 iliyopita hawakuwa na mlolongo kiasi hicho japo utendaji wao ulikuwa huo wa konyonga.

BTW
Njooni niwapatie msaada wa kitaalamu kwenye dissertation zenu ili mmalize kwa wakati kwa ada nafuu kabisa.
 
Weka contacts hapa tuje kwa wingi.
 
Pole sana mkuu hope wahusika wamesikia wabadilike kwakweli, namkumbuka desanjo wa IDS atukuattend seminar ya DS tulijuta kwenye coursework.
Sasa mtu hujahudhuria seminar then unataka marks za bure.
Chuo gani wanaruhusu hayo mambo mkuu?
 
Back
Top Bottom