Ndo huyu aliyekuwa anachezea Kenya?
View attachment 116181
wa pili tokA KUSHOTO WALIOCHUCHUMAA
sawia kabisa mkuu Stata, alikua Kenya beki ya kushoto ana rasta hivi
Wampeleke kwa daktari wa magonjwa ya akili, waache uduwanzi.
sawia kabisa, beki kisiki wa kupanda na kushukayap seto huyo ni nizar, nadhani amavubi alimaanisha wa pili tokea kulia waliochuchumaa maana ndiye haswa.
Hii ni picha yake nyingine.
View attachment 116283
kama ni kweli namuombea heri kwa mwenyezi mungu apone na kurudia kiwango chake.
utakauta ni yale mambo ya kinamasogange yamemzuru
asante, na iwe hivyoyap seto huyo ni nizar, nadhani amavubi alimaanisha wa pili tokea kulia waliochuchumaa maana ndiye haswa.
Hii ni picha yake nyingine.
View attachment 116283
kama ni kweli namuombea heri kwa mwenyezi mungu apone na kurudia kiwango chake.