xivii09
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 265
- 145
kwa wale ambao bado huu ugonjwa kwenu kuutibu ni tatizo dawa yake ndo imewasili ningia hapa Khurram's Softwares utaipata iko poa piga mzigo mpaka uchoke ila tu! usiupdate ukikwama uje nipo kwa ajili yko
nadhani utakuwa umeingia uku bahati mbaya nenda sector yko ya hoteli manegement
kazi ya IDM ni nini?
aaah mkubwa siyo mambo hayo. mimi suka bwana. Mbagala-K/Koo.nadhani utakuwa umeingia uku bahati mbaya nenda sector yko ya hoteli manegement
Kufanya kazi si kazi kazi ni kupata kazi.
kazi ya IDM ni nini?
nadhani utakuwa umeingia uku bahati mbaya nenda sector yko ya hoteli manegement
kazi ya IDM ni nini?
nadhani utakuwa umeingia uku bahati mbaya nenda sector yko ya hoteli manegement
Uctuvunje mbavu mkuu!!achana nalo hilo mkuu ni Gamba hilo linadhani IDM ni Chama cha siasa na lilishataka kuleta ubishani wa kipuuzi, anyway thanks for the useful thread
kaka mbona watu walikua tayari wameshaizungumuzi humu mm mbona kilaza sna uoni jombaa