IDM na Utorrent ni vitu gani ?

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Habari zenu wakuu, nauliza hvyo v2 jaman maana yake nini au vinafanya kazi gan
 
IDM (Internet Download Manager) ni software inayotumika kudownload data kutoka kwenye internet.
uTorrent ni Website ambayo imecontain information mbalimbali, na inakupa option ya kuweza kuzidownload wewe mteja kwa kulipia, au ukiwa mjanja unaweza kuzipata kwa njia ya wizi
 
UTorrent ni Website ambayo imecontain information mbalimbali, na inakupa option ya kuweza kuzidownload wewe mteja kwa kulipia, au ukiwa mjanja unaweza kuzipata kwa njia ya wizi
Unamwingiza chaka mwenzako.
Utorrent ni Peer 2 Peer (P2P) application inayokuwezesha kushare na kudownload files kutoka kwa wenzako wenye hizo file.
 
Wadau mimi nipo nje ya mada nahtaji msaada kidogo, nimenunua samsung S7262,Nahtaj maelekezo ya kuweka
setting za internet natumia tigo. Kwa wanaoitumia au waliowah kutumia ina 3G kweli? mda wote naona E tu?
 
kuchangia kitu usichokifahamu sio kitu kizuri na ni tabia mbaya zaidi kuliko zote za mwanadamu ambayo wengi wetu humu tunayo....
turudi kwenye mada, hizo zote ni downloading tools zinazomuwezesha user ku-download vitu mabalimbali kwenye internet ila zinatofautiana ufanyaji wake wa kazi
IDM-hii ukisha install kwenye computer inakuwa ina-detect vitu(songs,video na .exe files)automatically. na kukuletea option ya nini unataka kufanya juu ya hicho kitu .
uTorrent-hii ukisha install kwenye computer yako unaitumia ukiihitaji....mfano unatafuta kitu(song, video au .exe files), kwa kutumia web search engines(google,bing,opera n.k) na ukakipata basi unakifungua hadi unapata source yake kisha una-copy URL kisha unaifungua utorrent na una-pest, kisha una download kitu chako.
 
Reactions: 10k
Wadau mimi nipo nje ya mada nahtaji msaada kidogo, nimenunua samsung S7262,Nahtaj maelekezo ya kuweka
setting za internet natumia tigo. Kwa wanaoitumia au waliowah kutumia ina 3G kweli? mda wote naona E tu?
nenda apn kwenye internet setting kisha kwenye name weka jina lako kwenye apn address weka www.jamiiforums.com then save halafu ifanye default halafu ingia kwenye web browser done..
 
basi fuata mmaelekezo haya;
fungua setting
nenda wireless and network
kisha mobile network
utaona use only 2G network, hapo ndipo penyewe....ukitiki unatumia 2G ambayo inalekuletea E(edge) sasa wewe disable hiyo na utakuwa unatumia 3G au H(hispa).
 
nenda apn kwenye internet setting kisha kwenye name weka jina lako kwenye apn address weka www.jamiiforums.com then save halafu ifanye default halafu ingia kwenye web browser done..

hakuna kitu kibaya kama kukurupuka...hakuna ukweli hapo
 
mkuu au hapa unazungumzia utorrent kile ki software ambacho kazi yake ni sawa sawa na idm?
Inaoneka wengi hamuelewi hii kitu, ngoja niwasaidie,
Download zipo zaina mbili
1. From server to your device also known as direct download
2. From device to device also known as Peer to Peer download (P2P)

Hiyo ya kwanza ni protocol ambayo IDM wanaitumia kama unapo download nyimbo kutoka Youtube ambazo zipo kwenye server yao, so hapo zinatoka kwenye server yao kuja kwenye device yako kama ni simu, ipad, au computer.

Hiyo ya pili ya Peer to Peer inatumiwa na application kama Utorrent, Bit torrent, Vuze, n.k hata kwenye simu zenu zenye bluetooth zinatumia P2P protocol, mfano. Mimi kama nina wimbo wangu nataka watu wengine waweze kudownload huu wimbo wangu wordwide kwanza inabidi niruhusu kushare yaani natengeneza torrent file ambayo itakuwa na ID au jina la ile nyimbo yangu alafu naiweka kwenye mitandao kama kat.ph, piratesbay n.k then mtu mwingine kutoka sehemu yoyote ile duniani akidownload lile file langu la torrent na ku-open kutumia software za P2P kama Utorrent lile file litaanza kuudownload ule wimbo kutoka kwenye Computer yangu na kwenda kwake yeye ambaye anadownload, yaani from my device to another device (P2P), Yaani kwa maana nyingine unapodownload kitu chochote kwa kutumia torrent hicho huwa kipo kwenye computer ya mwenzako vilevile kama wenye nacho ni wengi (Seeders) speed yako ya kudownload inaongezeka.
Nafikiri kwa haya machache mtakuwa mmenielewa kidogo.
 
basi fuata mmaelekezo haya;
fungua setting
nenda wireless and network
kisha mobile network
utaona use only 2G network, hapo ndipo penyewe....ukitiki unatumia 2G ambayo inalekuletea E(edge) sasa wewe disable hiyo na utakuwa unatumia 3G au H(hispa).

Thanx ,ipo poa kabisa na pole kwa nliowakwaza kwa kwenda nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…