Nawasalimu wadau wote wa jukwaa hili .tafadhali naomba msaada kuhusu hili;natumia idm kudownload movie na video ila siku za hv karibun imekua inanizingua inadownload video ila haitoi sauti naomba msaada ni fanye nn ama km naweza kupata down loader nyngine .natanguliza shukuran.