"Nguli" wanahabari wa Tanzania, nawapa wazo:
Can you solicit CNN management ianzishe idhaa ya Kiswahili ya CNN. Mbona itapendeza.....
Lead person Pascal Mayalla
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wahi faster karantini umeshaonyesha dalili za mwanzo za kovidi"Nguli" wanahabari wa Tanzania, nawapa wazo:
Can you solicit CNN management ianzishe idhaa ya Kiswahili ya CNN. Mbona itapendeza.....
Lead person Pascal Mayalla
The Boss sitegemei uanze na matusi. Nakuweka kiporo! NakusubiriNi upumbavu huu na mawazo ya kitumwa
CNN wapo Kwa ajili ya American interests
Wanafanya pr na propaganda Kwa faida ya marekani..na western countries
Mfano mgogoro wa Barrick na serikali ya Tanzania ..wao wangekuwa wanawaeka vipindi vya propaganda Ku side na Barrick
Umefikiria mbali Kenya yenyewe tumeshindwaKwanza tufungue CRDB Washington DC branch mengine yafuate.
ππππππ
Duu!Unamsubiri wapi?The Boss sitegemei uanze na matusi. Nakuweka kiporo! Nakusubiri
ivi zile branches za Bujumbura na comoro zilishafungwa?Umefikiria mbali Kenya yenyewe tumeshindwa
Idhaa ya mwanagati
Ipo idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America ikitangaza kutoka Washington tangu siku nyingi unafahamu?"Nguli" wanahabari wa Tanzania, nawapa wazo:
Can you solicit CNN management ianzishe idhaa ya Kiswahili ya CNN. Mbona itapendeza.....
Lead person Pascal Mayalla
Ni upumbavu huu na mawazo ya kitumwa