Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,504
- 7,108
Unafikiri wanaogopa izo ndevuWajaribu kufanya hilo.
Unafikiri wanaogopa izo ndevuWajaribu kufanya hilo.
Sifikiri wanaogopa, wafanye hivyo.Unafikiri wanaogopa izo ndevu
Huyu gaidi kua ni muongo muongo habari zakeTatizo habari zako huwa haziaminiki, mara nyingi zinakuwa za uongo
Yaani huyu jangili anawalisha watu matango poriUhara mtupu.
Kipigo kinaendelea mpaka Netanyau akamatweHehehe, vijana wa Kipalestina kuingia barabarani kuilaani HAMAS inakuaje habari nzuri kwenu nyie na maugaidi yenu?
Kipigo kinaendelea mpaka Netanyau akamatwe View attachment 2888925
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wenye handaki wako wapiTroops of the 98th Division raided an underground tunnel located under the Bani Suheila cemetery in the heart of Khan Yunis, the IDF reported on Monday. While inspecting the tunnel, the fighters found explosives and sliding doors and eliminated terrorists who were inside.
Uhara ndo nini wewe mwarabu wa bonyokwa?,Uhara mtupu.
Habari hii tusione sky, CNN au BBC!?Siyo haziaminiki Bali hupendezwi nazo, habari ipi Ni ya uongo hapa aliyoileta?
Mweleweshe,maana wewe unaijua vizuri uharoUhara ndo nini wewe mwarabu wa bonyokwa?,
Ambrrrr mbrrr mbrrrr mbrrrrr aiiiiMweleweshe,maana wewe unaijua vizuri uharo
Ndo huwa vinaharisha hivi vizee unavyovichambisha huko ughaibuni!?..nakusihi kukata kucha mkuu,usije kula uharoAmbrrrr mbrrr mbrrrr mbrrrrr aiiii
Na hizi taarifa umezipata kutoka vyanzo vya Israel bhasi sawaYaani hawa magaidi wa dini walitumia nguvu nyingi sana kujipanga, dadeki..
Hawa walipaswa wapigwe carpet bombing tuanze upya, ingekua Mrusi au Mchina anapambana na hawa, angepiga moja tu na tunasahau hizi issue, dunia inapiga makelele mwezi mmoja kisha tunafanya mengine.
Israel wanatumia nguvu nyingi kuviziana na magaidi yanayojificha nyuma ya watoto, ilhali wana uwezo wa kudondosha bomu moja tupange mengine
Inside of the Khan Yunis tunnel. January 29, 2024. (credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT)
Khan Yunis tunnel unearthed under the Bani Suheila cemetery. January 29, 2024.(photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT)
Troops of the 98th Division raided an underground tunnel located under the Bani Suheila cemetery in the heart of Khan Yunis, the IDF reported on Monday. While inspecting the tunnel, the fighters found explosives and sliding doors and eliminated terrorists who were inside.
Inside the tunnel, the Israeli forces unearthed the office of the eastern Battalion commander from the Khan Yunis Brigade, from where he directed the October 7 attacks, according to the IDF.
In addition, troops found operation rooms, a battalion combat war room, and bedrooms of senior officials of the Hamas terrorist organization.
IDF unearths Hamas operation room in tunnel under Khan Yunis cemetery
Inside the tunnel, the forces unearthed the office of the eastern Battalion commander from the Khan Yunis Brigade, from where he directed the October 7 attacks, according to the IDF.www.jpost.com
Hahaha nimecheka kwa sauti hadi walio karibu yangu wamebaki kushangaa.Ndo huwa vinaharisha hivi vizee unavyovichambisha huko ughaibuni!?..nakusihi kukata kucha mkuu,usije kula uharo
Acha kuwaza kama mwendawazimu. Kitu pekee kitakacho ipa Israel amani ya kudumu ni palestina kupata uhuru wake kamili. Amani haipatikani kwa kutumia nguvu bali ni kwa kutenda hakiTukiachana na mihemuko Netanyahu yupo sahihi kuendelea na vita badala ya ceasefire, huko Gaza.
Ni bora mateka waendelee kushikiliwa lakini magaidi wa Hamas wasiendelee kutawala Gaza. Gaza isiwe tena"safe haven "kwa magaidi 🤔