Kalamu Nzito
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 376
- 850
Habari wana JF
Jobless hapa wa muda mrefu. Hata hivyo nimekua niki-develop various skills ikiwemo audio production na beat making.
Hivi karibuni nimeandaa project (AUDIO) ya dakika 1 ambayo nimejiridhisha kuwa itafaa kama Tangazo la mtandao wa simu wa YAS.
Sijui utaratibu na sifahamu nitawafikiaje hawa jamaa lakini I hope wadau wao wapo humu na wataniona.
Email yangu:
moderncentury5@gmail.com