adacadabra
Member
- Jul 31, 2013
- 98
- 35
Fungua ps2 centre kwa maelezo zaidi wasiliana nami pia tunaweza ku amalgamate tukafanya ktu kmoja.0659626782 bip,sms,piga chaguo lako
Fungua ps2 centre kwa maelezo zaidi wasiliana nami pia tunaweza ku amalgamate tukafanya ktu kmoja.0659626782 bip,sms,piga chaguo lako
nunua boxer
Kodisha chumba kwa gharama ndogo, fuga kuku 300 wa nyama, Gharama ya kununua na kumlisha mmoja hadi kufikia kuuza maximum ni Tsh 3,800/= kwa wiki 5, Bei ya kumuuza ni zaidi ya Tsh 6,000 . ukipata soko la Hotelini ni Tsh 7500 kwa kilo , kwa kawaaida kuku wa wiki 5 huwa na kilo 1.5 kuendelea, kw mtaji wa 2M una uwakika wa kupata faida 600,000/= Kwa wiki 5.
Haya mkuu
Kama upo Dar na unaweza ufugaji nitafute. Nina mabanda hapahapa Dar es Salaam
Mbuzi wanauzwa minadani Morogoro, Dodoma, Mkata nk kwa Tsh 40,000 mpaka 60,000
Mimi nitakupa gari langu pickup uweke mafuta (petrol) ya 150,000 kwenda na kurudi
Ukinunua mbuzi 30 kwa tsh 50,000 kila mmoja maana yake utatumia jumla ya tsh 1,500,000/= plus mafuta utatumia 1,750,000/-
Soko la uhakika nitakuonyesha hapa Dar ambapo utakuwa na uhakika wa kuuza mbuzi 7 mpaka 10 kwa siku kwa bei ya si chini ya tsh 90,000 hivyo utapata 2,700,000 ndani ya siku 5 maximum
kazi ni kwako
06 54 99 83 26