msikititi wa moa na kalali kule lyamungo na machame miaka ya 90 nikisoma lyamungo sec ,,,tuliienjoy sana..:spy:madame umenikumbusha mbali sana..dizain zetu hizo uswahilini! Huku hakuna self service! Ni mwendo wa kugombea,speed yako ndio itakushibisha🙂
Mambo ya mchele hayoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Pilau yenyewe haijaenda shule imebaniwa viungo! Pilau sheria yake inatakiwa kua GOLD!
>Mlijua mtaupiga picha nini mbona mmeutawanya sana kwenye masinia ili uonekane umejaa.