Iddi Azzan Hivi ni mbunge?

Iddi Azzan Hivi ni mbunge?

junpyo

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
50
Reaction score
9
Jamani wana jimbo la kinondoni tusaidiane hapa, Hivi huyu mbunge wetu wa kinondoni kazi yake ni nini? Maana maadui ujinga umasikini na maradhi vinazidi kutanua mbawa katika jimbo letu alafu yeye anakula raha na sie tunabaki bila ya mwakilishi na mtetezi wa matatizo yetu
 
mi sijui, maana hiyo jina hata sjalisikia, labda ni jamii ya wabunge wanao lala sana bungeni
 
Yuko bize na ujenzi wa hekalu lake pale magomeni makanya
 
Kwani aliwaahidi nini? sialiwauzia sera za chama chake, mkazielewa na mkamchagua? natumai anachagiza nakusimamia ilani ya chama chake hapo jimboni kama mlivyo kubaliana!
 
huyu .si Ndio mdau mkuu wa michezo... ?
 
Hivi si nae ni mwenyekiti wa bunge?naonaga akikalia kiti cha speaker wabunge huwa wanaufyata,hawaleti maneno mingi kama akikaa spika au naibuspika.
Sijui kwa sababu gani
 
Hivi kweli mbunge anaweza kumaliza tatizo lililoletwa na mfumo? Mengine mnawatwisha wabunge mzigo usiowao.
 
Hivi si nae ni mwenyekiti wa bunge?naonaga akikalia kiti cha speaker wabunge huwa wanaufyata,hawaleti maneno mingi kama akikaa spika au naibuspika.
Sijui kwa sababu gani

huyo ni musa zungu wa ilala
 
Back
Top Bottom