Niliisha sema ninarudia tena watu wafuatao kujipenyeza na kuingia katika systerm ni janga la taifa ambalo litatukumba hivi karibuni:-( 1). Aden Rage (2) Idd Simba ( 3) Rostam Aziz ( 4) Mohamed DEWJI (5) Murji (6) Abood n.k watu hawa wamengia kwenye syterm kupitia CCM licha ya wengine kati ya hao wanarecord chafu sana sana huko nyuma hawastahili kabisa kukabidhiwa dhamana ya uongozi. Watu hawa zama za mwenye CCM yuko hai Mzee Nyerere majina yao yalikuwa yanakatwa kila mala wakiomba uongozi kupitia ticketi ya chama hicho.
Simba ni tajiri longtime, tuuweke ufisadi wake kwenye darubini. mengine yatakuwa ni majungu. Hata mwalim amekufa akijua utajiri wa huyu mzawa.

Teh teh teh. Nimefurahishwa sn na comment hii. Big up.Si utajiri halali ni wa kishenzi tu. Hivi unafahamu kuwa Pride Tanzania ilianzishwa kwa grant ya kifadhili ili isaidie microfinance halafu mwishowe akafanya alivyofanya na sasa anaimiliki na ndugu zako maskini wanakwamuliwa pale kila tone la damu yao? Hivi unajua kile kiwanda cha pedi cha mkewe cha Kays kama kilikuwa ni almost hakilipi kodi? Hivi bado kipi hiki? Acha kabisa huyu ni Rundi lina damu ya Kirundi na halina uchungu na Tanzania. Hivi lile sakatia lake la uraia lilishia wapi au alishanunu news Editors!!! Tafadhali hebu tulifnumue. Jerry Muro uko wapi siku hizi? Ingia media private maana tume kumiso sana. Tumfukur huyu Iddi Simba ila tusikubali hongo maana nasikia hela yake chafu na ndefu!!!