Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

Idd Pazi "Father" Atua CHADEMA

Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi "Father" amejiunga Chadema. Alisema Chadema ndio Chama pekee kinaweza kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Source: Tz Daima
aisee good move.
 
Karibu sana Iddi Pazi. Hongera kwa kuchagua mabadiliko chanya.
 
Bado wengi. ..tumefukuza sisimizi sasa tunaleta majembe.
 
Kamfuata Tenga!, kumbe Tenga naye n miongoni mwa wapambanaji kupitia CDM
 
soka imemshinda ameamua kujaribu siasa, huko ndo anaenda kufa kabisa
 
Natamania atue Kaseja afu agombee kinondoni. Idd Azan anazingua 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hewala ...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa Idd Pazi "Father" amejiunga Chadema. Alisema Chadema ndio Chama pekee kinaweza kuleta mageuzi ya kweli Tanzania.

Source: Tz Daima
 
Inaonekana siku hizi mtu maisha yakimshinda anakimbilia siasa na CHADEMA ndiyo kichaka wanachoenda kujifichia.

Kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kutumia kura zetu tutawafurumusha wote kutoka huko kichakani ili wakafanye kazi taifa lisonge mbele.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
soka imemshinda ameamua kujaribu siasa, huko ndo anaenda kufa kabisa

We jamaa hata hufuatilii soka ndo maana maelezo ya mleta uzi yamekuchanganya,huyu si kipa namba moja wa simba bali aliwahi kuwa kipa mahiri sana miaka ya 80 na 90 hivyo alistaafu siku nyingi soka anaendelea na biashara zake zenye mafanikio katika maduka ya vifaa vya michezo
 
leodgar tenga ni kada maarufu la magamba,kwenye mechi ya stars na brazil alimwaga vipeperushi vya ccm uwanjani

Mkuu,
Mchizi ni M4C damu, umwambii kitu kwa M4C. Mbona several times ameshasema hadharani!!!
 
pamoja karibu kipa wangu ninaimani uchanguzi uliofanya ni mwema sana
 
Back
Top Bottom