Idd Azzan azidi kuivuruga CCM , Kikwete yuko njiapanda, Dr Slaa kuvujishiwa siri nzito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idd Azzan azidi kuivuruga CCM , Kikwete yuko njiapanda, Dr Slaa kuvujishiwa siri nzito

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAMBOTA, May 14, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Giza nene limeendelea kutanda ndani ya chama cha mapinduzi CCM kufuatia kile kinachoonekana udikteta wa sekretarieti ya CCM mkoa wa Dar es salaam kumwonea mbunge wa Kinondoni Bw Idd Azzan, taarifa ambazo blog hii imezipata kutoka ndani ya chama hiko ni kuwa UVCCM wilaya ya Kinondoni wamewasilisha barua yao kwa Kikwete ya kumtaka kumfutia adhabu Bw Idd Azzan, akiongea na blog hii nje ya ofisi za makao makuu ya CCM wilaya ya kinondoni eneo la Mkwajuni jijini Dar es salaam mmoja wa viongozi ofisini hapo amesema....ni kweli nimepokea taarifa kuwa UVCCM wilaya ya Kinondoni wamewasilisha barua yao wakimwomba Kikwete amsamehe mbunge huyo.."
  Hatua hii inamweka njiapanda Kikwete kwani uamuzi wowote atakaouchukua unadaiwa kukigawa chama mfano akisema amsamehe Bw Idd Azzan tayari vuguvugu la chini kwa chini ndani ya CCM wilaya ya Kinondoni lishaanza kudai kuwa iwapo atamsamehe hiyo itakuwa ni dharau kubwa kwao waliotoa adhabu na pia ikiwa Kikwete atawatolea nje vijana pia inadaiwa vijana watapoteza imani na mwenyekiti huyo kwa kupuuza maombi yao hivyo mpaka sasa Kikwete hajatangaza ameamua nini kati ya haya mawili? ....SOMA HABARI NYINGINE NYINGI ZA KISIASA PAMOJA NA HABARI ZIFUATAZO.....NAPPE Apondwa vibaya aambiwa aache kukengeusha hoja, Tp Mazembe is disqualified,Dr Slaa kuifumua manispaa ya Songea,CUF WAPANGA KUIDHOOFISHA CHADEMA na Mtanzania ashtakiwa kwa kosa la mauaji huko Canada.....SOMA KWA UNDANI TEMBELEA
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hmmm:smow:
   
Loading...