Idara za Serikali/Wanasiasa wanaongoza kwa PR/SPIN

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi mnaweza kutuambia idara za serikali au mawaziri au wabunge wanaoongoza kwa PR au Spinning?

Mimi nawa nominate TANESCO/WIZARA YA GIZA

sidhani kama kuna mwanasiasa anamshinda Ngeleja kwa ku spin

na sidhani kama kuna idara ya serikali inayoongoza kwa PR kama TANESCO chini ya BADRA MASOUD
 
kikwete+cheu.jpg
 
Back
Top Bottom