...kwa hiyo angekuwa mweusi anapiga hizo picha usingekereka? yaani mijitu kama hii mzigo mkubwa sana kwenye jamii maana imejaa chuki tuu za kishenzi na hazina sababu zozote na utakuta ndio ya kwanza kulaumu weupe ni wabaguzi,huna tofauti ni ile huku tunayaita KKK...unaonekana hata kusoma hujasoma na hujawahi kusafiri mpuuzi wewe!
Kutumia lugha kama hizi hakuonyeshi una hoja kwenye uliyoandika. Kama kusoma na kusafari matokeo yake ni lugha kama hii basi vyote hivyo havina maana. Bila shaka una miaka mingi mdomo wako haujasukutuliwa.
...subiri ndugu yako Chaku akupe thanks!
Hii ilikuwa ni kwa ajili yako na si Chaku, unataka anipe thanks kwa lipi?
.....unaonaje ukienda kusaidiana na Chaku kuwa report wazungu wanaopiga picha jikoni bila vibali!
Umewahi toa taarifa kuhusu such people sehem husika? Ulijibiwa nini? tupe ushuhuda wako hapa. The best thing we should do is to immediately report such dangerous people to the relevant authorities kuliko kukaa na kunung'unika tu kwenye forums. Often times tumemsikia Kova/Mwema akisisitiza ushirikiano toka kwa raia. Tuwape ushirikiano kwa kutoa tips tukiona kuna watu hatari. Hiyo ni kwa faida yetu sote na mali zetu sio peke yao kama dola.
Ni tatizo..... kodi zinapanda maradufu... siye kipato cha chini tunaumia.sidhani kama kuishi uswahilini ni tatizo, tatizo ni kama hawana vibali vya kuwaruhusu kuishi nchini
...subiri ndugu yako chaku akupe thanks!
naona mnaanza kulaumu wageni kwa njaa zenu na ujambazi uliojaa mjini,wengi wao hao mnaowaita illegal wako kuwasaidia na msijidanganye eti Tanzania kuna tatizo la uhamiaji kama wapo ni wachache sana ambao hakuna hata haja ya serikali kuwa na wasiwasi...tatizo ni wananchi wenyewe ndio majambazi na wauza unga na msisingizie wageni na wala hakuna hilo tatizo!
**** wewe kalale huko
Koba said:naona mnaanza kulaumu wageni kwa njaa zenu na ujambazi uliojaa mjini,wengi wao hao mnaowaita illegal wako kuwasaidia na msijidanganye eti Tanzania kuna tatizo la uhamiaji kama wapo ni wachache sana ambao hakuna hata haja ya serikali kuwa na wasiwasi...tatizo ni wananchi wenyewe ndio majambazi na wauza unga na msisingizie wageni na wala hakuna hilo tatizo!