Idara ya Maliasili ipo kweli!?.

Idara ya Maliasili ipo kweli!?.

shida

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
5
Reaction score
3
Kama kukutwa na Maliasili ya taifa ni kosa iweje wale jamaa waliomuua yule nyoka huko Arusha,Idara ya Maliasili haijawachukulia hatua wauaji ilhali sura na wanapopatikana kunajulikana!?. Kwa sababu serikali haiamini ushirikina.
 
Back
Top Bottom