Idara ya maji arusha zoezi la kutafuta wezi wa maji lifanyike kwa umakini kwenye mahotel

mangi eddy

Member
Nov 25, 2013
48
12
Tunakubali kuna wizi na upotevu mkubwa wa maji lakini wanatuhumu hata mahoteli yasiyoiba maji na kkulazimishia kulipa wizi bila kupata ushahidi wa kuonyesha bomba lililopeleka maji hotelini (by pass) ni uonevu mkubwa kwa wengi
 
Back
Top Bottom