Fakyuol
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 142
- 313
Kutoka kwa mdau!!
" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri
,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na kujihusisha nao kimapenzi!!!
Idadi ninayo ikumbuka...vizuri ni wanawakeee kama mia moja na sita ama na saba hivi "
Ila kwa sasa nmeamua kutulia na ninatalaji kufunga ndoa December mwaka huu!!! Na mdada ambaye tayar anamwangangu tumboni
Nina afya njema sana ..na nina mshukuru sana MUNGU sina gonjwa lolote lile!!!
Nnajua hayawahusu ila . Ndo..hvyo ..ni maisha...na...kila mtu anastory yake "