Wanaochelewesha ni hawa Majaji, kesi za wanaopinga uchaguzi wa marudio za akina Bw. Harun Mwau ndo kwanza zimeanza kusikilizwa wiki iliyopita. Maamuzi ya haraka yanahitajika hapoThis is not good news at all.Kesi za kupinga matokeo zimefikia wapi.Nairobi inapaswa kutatua mgogoro huu haraka
Sisi waafrica kinachotuponza ni unafki,yaan leo tunataka tujionyeshe wema kwa wenzetu kube sio kweli,au tujionyeshe wabaya kumbe sisi wema ila tunahangaikia maslahi tu!!!
"Ee Mungu Tusaidie"
I agree with you on this one...Raila has a following like any other opposition politician...I really don't see why welcoming him home was a big deal for the police force...Tatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.
Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?
Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.
Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.
Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.
Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.
Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
Ngoja tu nifafanue kwa jinsi nilivyo elewa jinsi vurugu zilivyo anza.Tatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.
Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?
Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.
Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.
Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.
Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.
Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
Wamevunja milango kisha wakafunga huku wakinywa vileo? Mbona sioni vileo unavyosema kwenye picha? Hao civilian wako hapo naona kama ni wenyewe duka hizo na pia wafanyikazi kwa hiyo your cheap propaganda has thus terribly failed.Polisi wahuni tuu hamna jipya huku
[/IMG]View attachment 632995
Wanevunja bar la mtu na kuanza kunywa vileo!
View attachment 632998
Wewe hauwajui hao wajaluo unaotetea,wakikubaliwa wafanye wanavyotaka hufanya na kuacha mahalibifu makubwa na hasaraTatizo ni Uhuru Kenyatta na Ruto.
Kwani Raila kupokelwa na wafuasi wake inawazuia nini wao kuwa Rais na makamo wa Rais!?
Ni ujinga tu wa bangi na cocaine anazo vuta na kula Mr Uhuru Kenyatta.
Tumeona, Yale maandamano hayakuwa ya fujo fujo au machafuko wamekuja kwa amani kabisa ila baada ya polisi kuanza kujiandaa eneo la Uhuru park, na kuwashambulia walipokaribia kufika katikati ya jiji.
Ila Kwengine kote walikopita hatukuona fujo hata kugusa gari au kiosk ama mboga za mama muuza genge la mbogamboga.
Automatically, there were no tangible reasons for such kind of a resistance and use of police organ to people who came to met Mr Raila.
Tatizo ni viongozi kujitoa ufahamu.
Imekuaje tena? Si Mlisema huko ndio Baba wa demokrasia?Ni kama huku tu...Polisi wanajipendekeza na kupendelea upande flani kwaajili ya kulinda matumbo yao.
Hawana haja ya kujali haki za raia.
He is back in town and others are back in hellBaba is Back in town.