Idadi ya waliofarika kwa kunywa sabuni Urusi yafikia 58

Idadi ya waliofarika kwa kunywa sabuni Urusi yafikia 58

Don san tan

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
575
Reaction score
443
Idadi ya waliofarika kwa kunywa sabuni Urusi yafikia 58
_93058092_russialiquidsoap.jpg

Maji ya sabuni yaliotumika

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa sabuni wakidhania ni pombe imefikia watu 58 kutoka 49 kulinga na vyombo vya habari nchini Urusi.

Wengi wa watu 37 walioathirika bado wanaendelea kutibiwa huku wengine wakiwa katika hali mahututi.

Raia hao walikunywa maji ya sabuni yaliokuwa na sumu kali wakidhania ilikuwa pombe kulingana na kamati ya uchunguzi ya Urusi .

Lakini maji hayo yalikuwa na kemikali ya Ethanol inayoweza kusababisha upofu.


Source: BBC
 
Pole yao!, kumbe hata wazungu nao wana ujinga kufakamia vitu wasivyovijua kwa uroho!!
 
hizi ni fake news!!I suspect. mbona hawataji Vyombo hivyo vya habari.
 
Duuuh hatari...Moshi kuna Pomb@ inaitwa bhunu mbundi hutengenezwa na vitu hivyo tena ya huku hutengenezwa kwa kinyesi...ukuona mashavu ya vijana watumiaji kama vile bagia mbichi...pole yao..
 
Back
Top Bottom