idadi ya wabunge wa chadema.

bojuka

Senior Member
Sep 9, 2010
128
1
Jamani tujulishane idadi ya wabunge wa chadema waliotangazwa na tume ya uchaguzi
 

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,338
Wewe "voice of reason", hii ndiyo reason unayotumia kujibu? Umeulizwa idadi ya wabunge wa CHADEMA unajibu ovyo ovyo eti JKM (Jambazi la Kuchakachua Matokeo...). Hapa si mahali pako.
naomba uniombe msamaha mimi nimemjibu mtu aliyeuliza swali kuwa wabunge wa chadema ni 32 na nikamjibu mtu aliyetoa jibu baya i.e. kalagabaho kuwa atumie busara kutoa jibu la swali na sio kutunga swali lake na kulijibu please lets be reasoable:doh:
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom