Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Wadau naomba mwenye takwimu atujuze. Kipindi Mkapa anaingia madarakani Tz ilikuwa na tembo wangapi? Je wakati anaondoka na Kikwete kuingia, walikuwa wangapi? Sasa tunaambiwa wamebaki 13,000 wakati miaka ya nyuma walifikia zaidi ya laki moja.
Mjadala mwingine utatokana na takwimu hizo.
Mjadala mwingine utatokana na takwimu hizo.