Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi.
Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi la wananchi na usalama wataifa. Bado ratio ni kubwa sana. Wananchi ni wengi mno.
Hii ina maana polisi mmoja anahudimia watu zaidi ya 1500! Hii ni kwa nchi nzima. Sasa hapo ondoa wanaolinda sehemu nyeti kama mabenki, vituo vya kura, mahabusu nk.
Je kwa takwimu hizi wananchi wakiamua jambo lao kweli kuna namna ya kuwazuia? Wakitoka ata laki 4 tu! Nchi inasimama. Tutumie logic tu. Ifike mahala tuheshimiane, maana wananchi siku wakilitambua hili. Nguvu itarudi kwao na ndio tutakuwa na demokrasia ya kweli. WATANZANIA AMKENI SASA! NCHI NI YENU, WENYE NGUVU NI NYINYI.