kwa hiyo ukubwa wa tanzania umeongezeka?Kama una watoto sita ni dhahiri huwezi kuishi chumba kimoja,lazima utafute nyumba kubwa.tanzania ya mwaka 1980 sio ya 2015,kuongeza mikoa kunasaidia kurahisisha huduma za kiutawala kwa wananchi.
Mkuu,majimbo au mikoa?zamani mikoa ilikuwa minane unaongelea zamani ipi?
Hapo Kikwete unamuonea, huu mkoa wa Manyara uliongezwa kipindi cha utawala wa Mzee Ben na si Kikwete.Hili ni jipu hasa, kama kuna mkoa usio kuwa na jografia rafiki ni Mkoa wa Manyara jamani kha! Mtu anatoka mererani anahitaji huduma ya mkoa , anapita Arusha analala anaamka kesho kwenda Babati, kama una kesi inabidi uwe na hela ya kulala gesti, huduma angeweza pata Arumeru lakini lolh. Mkwere! Hata sahaulika.
Kweli kabisa kaka.Miaka ya themanini ilikuwa ukimuuliza mtu Tanzania bara ina mikoa mingapi atakwambia 20 na Zanzibar utajibiwa ni 5. Lakini miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la mikoa kiasi kwamba hata leo ukiniuliza tuna mikoa mingapi sina jibu.
zamani mikoa ilikuwa minane unaongelea zamani ipi?
miaka ya themanini...kasema...nawewe unasema zamani ilikuwa mikoa 8 ..hiyo mikoa ni ipi???zamani mikoa ilikuwa minane unaongelea zamani ipi?
.. Uanzishaji wa mikoa kidogo kuna nafuu, shida ipo kwenye wilaya. Dhana ya kufikisha huduma karibu inatatiza. Nenda Tabora, ili mtu wa Tutuo afike ISIKIZYA makao makuu ya UYUI inambidi apite Tabora mjini.Miaka ya themanini ilikuwa ukimuuliza mtu Tanzania bara ina mikoa mingapi atakwambia 20 na Zanzibar utajibiwa ni 5. Lakini miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la mikoa kiasi kwamba hata leo ukiniuliza tuna mikoa mingapi sina jibu.
Tusaidiane kuitaja hapa mkuu;Miaka ya themanini ilikuwa ukimuuliza mtu Tanzania bara ina mikoa mingapi atakwambia 20 na Zanzibar utajibiwa ni 5. Lakini miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la mikoa kiasi kwamba hata leo ukiniuliza tuna mikoa mingapi sina jibu.
Miaka ya themanini ilikuwa ukimuuliza mtu Tanzania bara ina mikoa mingapi atakwambia 20 na Zanzibar utajibiwa ni 5. Lakini miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la mikoa kiasi kwamba hata leo ukiniuliza tuna mikoa mingapi sina jibu.
Kwakweli hilo La mikoa hata mimi siku hizi sina jibu kamili.