Ni siwapendi kabisa ila suala la ushoga ni la karne na karne tangu enzi za sodoma na gomora, na swala very complicated
Cha kufanya na cha muhimu ni kumuomba Mungu tatizo lisizidi kukua na katika familia zetu atuepushe kuwa na watoto wenye hilo tatizo