zigi 01 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 325 Reaction score 198 Nov 23, 2017 #1 Kwa alie tayari ambae yupo DSM na yuko vizuri kwenye web design ani inbox, natafuta mtu wa kunifundisha hiyo course kwa language zote lakini ni kwa muda wa jioni tu. Shart awepo karibu na Magomeni ili iwe rahisi mm kumfuata alipo
Kwa alie tayari ambae yupo DSM na yuko vizuri kwenye web design ani inbox, natafuta mtu wa kunifundisha hiyo course kwa language zote lakini ni kwa muda wa jioni tu. Shart awepo karibu na Magomeni ili iwe rahisi mm kumfuata alipo
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,937 Reaction score 3,054 Nov 23, 2017 #2 wanakuja mkuu lakini maswala ya blog yanawalipa wengi wenu ?
MdengestanfromCuba JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 667 Reaction score 743 Nov 23, 2017 #3 Check me pm