Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu
Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.
Itachukua mda mwingi mpaka kuja kuweza hii kitu. Android nao wameona umuhimu wake lakini kama kawaida ya android kila kampuni inamodify os bado iko weakNa siku wakiweza hii kitu sinunui tena
Hiyo siyo yenyewe bro.Wazoefu wa iphone naomba msaada. Kuna Iphone 4s ina mfuniko wa nyuma umevunjikavunjika. Simu hii ukiiwasha ina search network hadi chaji inaisha (haisomi mtandao) pia hii iphone 4s ina sehemu ya kuweka memory card. Je hii simu ni orijino? Je mfuniko wa nyuma una uhusiano na network?
Me mwenyewe ngumu kumesa aseeWe Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Starting price ya iPhone X imekuwa kubwa kuliko iPhone zote zilizopita
Wamechemka sana hiyo simu tofauti Na tulivyotarajia
Nimekaa hapa nasubiri update tu
Dear wana jamii forums. Zaidi ya miaka mitatu hivi nilikuwa naondoa lock za icloud kwa asilimia zaidi ya 70%. Yaani ukiniletea simu 10 zenye icloud, 7 nilikuwa naweza kuzifungua. Lakini kuanzia mwezi wa 7 mwaka huu 2017, especially simu mpya kama iphone 6s plus na 7 zimekuwa ngumu sana kuzifungua. Je! kuna yeyote hapa tunaweza kushirikiana ujuzi na uzoefu wa jinsi ya kuzifungua? Trust me. Hii ni biashara nzuri sana kwasababu ni kilio duniani ukiweza kufanikiwa kufungua angalau mbili kwa siku you will never be the same. Njoo tuzungumze
Miezi kama 8 hivi kuna jamaa humu alinitolea icloud kwenye ipad mini yangu. Mimi nipo nje ya nchi na jamaa yupo Dar. Tulikubaliana ataondoa icloud lock kwa kumpa serial no iliyopo nyuma ya ipad. Sikumlipa pesa yake mpaka nilipohakikisha ipad ipo unlocked na hadi muda huu bado naitumia.
Lazma kuna details kama email ako ulimpa au email iliokua locked kwa icloud na useme ilkua na iOs gan.?
Watu ni ubishi tu! Icloud inaondolewa vizuri sana!Miezi kama 8 hivi kuna jamaa humu alinitolea icloud kwenye ipad mini yangu. Mimi nipo nje ya nchi na jamaa yupo Dar. Tulikubaliana ataondoa icloud lock kwa kumpa serial no iliyopo nyuma ya ipad. Sikumlipa pesa yake mpaka nilipohakikisha ipad ipo unlocked na hadi muda huu bado naitumia.
Mkuu umerudi! Mm naomba unijibu tu swali moja umewezaje ku"unlock" iphone 6s na ukashindwa iphone 6.Watu ni ubishi tu! Icloud inaondolewa vizuri sana!
Zote nazifungua! Sometimes nyingine zinachukua muda mfupi nyingine nashindwa naiweka pembeni naendelea na nyingine alafu nairudia mpaka inakubaliMkuu umerudi! Mm naomba unijibu tu swali moja umewezaje ku"unlock" iphone 6s na ukashindwa iphone 6.
Hilo tu mkuu naomba unijibu.
Lakini katika maelezo yako ya mwanzo umesema iphone 6 na 7 zimekushinda ila umeweza iphone 6s! Sasa nikashangaa inawezekaneje ku"unlock" iphone 6s na iphone 6 ikushinde ili hali 6s ni bora zaidi kuliko 6?!Zote nazifungua! Sometimes nyingine zinachukua muda mfupi nyingine nashindwa naiweka pembeni naendelea na nyingine alafu nairudia mpaka inakubali
Bro naomba adreess yake nna simu nimesahau details zake please.Sikumpa details zangu zozote apart from ile serial no iliyopo nyuma ya ipad. Ipad nilinunua sunday market na owner ali report lost mara tu baada ya kuunganisha na wifi. Ilikuwa ios 9 ambapo ni ya mwisho huwezi ku update zaidi ya hapo kwa hizi ipad mini first generation. Ila sina hakika kama unaweza kufungua iPhone yoyote yenye icloud.
Icloud haijawah kuwaacha watu salama....wenye mijikopo ya iphone na ipad tumieni tu bypass ili muingie hata jamii forums mpunguze machungu
Dis bypass..washa kaji wireless kutoka simu ingine au router kisha we nenda kwenye wireless setting set dns kwa kuweka 104.155.28.90 rudi nyuma weka password za wireless yako tumia..Instagram, Facebook, YouTube, Google na hata kuingia humu jukwaani kuliko kukaa na likopo.