Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,164
Poa! Ila mimi nilikuwa naongelea simu za apple zinazotumia iOS. Yaani iphone 4, 4s, 5, 5c, 5s, 6, 6s, 6s plus, 7Mwenye kuhitaji huduma ya kuondoa google lock simu yoyote ya android anitafute
Najua lkn nimechukua fursaPoa! Ila mimi nilikuwa naongelea simu za apple zinazotumia iOS. Yaani iphone 4, 4s, 5, 5c, 5s, 6, 6s, 6s plus, 7
Pamoja na security watu tumeendelea kuzifungua. Unajua kuna watu wengi sana wameuziwa simu kwa bei kubwa wanakuja kushtuka hawawezi kuzitumia. hapa Dar wapo kibao!Mkuu nasikia iPhone wameongeza security sana kwenye simu zao
Hahahahah! PoaNajua lkn nimechukua fursa
Mkuu inawezekanaje??? 5s kwa mfano sh ngapiPamoja na security watu tumeendelea kuzifungua. Unajua kuna watu wengi sana wameuziwa simu kwa bei kubwa wanakuja kushtuka hawawezi kuzitumia. hapa Dar wapo kibao!
Inawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsappMkuu inawezekanaje??? 5s kwa mfano sh ngapi
Sent from my iDevice using Tapatalk
poapoa ngoja nitakutafutaInawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246
Kuna simu zinakubari chomoka aisee hata mimi nimeshuhudia sema sometimes inakuwa temporary uki update au ireset tu inajirudia kama awaliWe Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinafunguliwa labda kama unaamua kubisha. njia inayotumika ni cracking, bypass, hacking, and social engineering. Kama unaelewa hizi lugha utakubaliana na mimi. Ila ni probability ambayo mpaka sasa nasema ni 70%. kama unayo yenye icloud tuwasilianeWe Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiifungua inakuwa permanent. naondoa lock zote nikitumia hiyo simu ambayo inanipa rights na permission zote kusett upya simu kama mpyaKuna simu zinakubari chomoka aisee hata mimi nimeshuhudia sema sometimes inakuwa temporary uki update au ireset tu inajirudia kama awali
Kwa iphone 5s kupanda juu au 4s, 5 na 5c?Nikiifungua inakuwa permanent. naondoa lock zote nikitumia hiyo simu ambayo inanipa rights na permission zote kusett upya simu kama mpya
Inawezekana sana mkuu. Simu ngumu ni 6 na 7 ambazo mpaka sasa nimeletewa 3 zinanitessa kuzifungua. kuhusu bei ni maelewano njooo whatsapp 0762516246
Alafu kiongozi cmoney!We Jamaa bora niwe Tomaso tu ..hadi sasa FBI wenyewe wameshindwa chomoa icloud labda kama unaongelea screen lock...sio vizuri kudanganya watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha kali sana kiongozi!Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....
kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!
Mkuu iphone zenye processor za 32 zinakuwa bypassed kimbembe kiko kwenye 64 processors ambazo zinarun over ios 9Unaanza kuongelea malipo wakati umesema huwezi kuzifungua, halafu unawaita watu chemba ukawapige, acha utapeli wa kishenzi wewe....
kamba tupu, CIA hawawezi kuondoa iCLOUD hata ya iPhone 4. We mchawi wa Kisarawe unaziondoa unaanzia wapi? Dauche bag!