ICJ haideal na kesi ya kuibiwa kura

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
328
Reaction score
351
Ukisoma dhumuni na maana ya ICJ utagundua kuwa ni mahakama inayohUsika na nchi kwa nchi na si internal affairs za nchi, ndio maana haijawah na haitawah kutokea nchi yyte duniani eti kubatilishwa matokeo na ICJ.

My take: Nawaomba wanaongelea mahakama ya ICJ na kesi ya wizi wa kura waache kwani raisi mteule ni magufuli na hakuna case itkayoenda ICJ.

 

Don't mislead people wew kilaza wa ccm
 
Sasa kwa nini unaomba waache wakati unatudanganya kuwa mahakama haina jukumu hilo? Kawashauri CCM waache wizi wa maamuzi ya wananchi.
 
Ccm hawana weledi wameiba kura wakasahau kuweka mahesabu yawe balance yaani kila ukipunguza kura hakikisha unaoanisha na za kwako. Yanaiba wakati mahesabu hayajuwi. Ovyooooo. IT mliowatumia ni mavilaza ya hatareee. CDM /UKAWA ni vichwa na wanajitambua
 
Nimeota Jana ccm mahesabu kwao ni ugonjwa. Ukiiba bana lazima uwe makini. Nasema tena mahesabu yanahitaji vichwa makini
 
Kilaza wa Galanos kadhihirisha
utomvu wake..
 
Ungeweka malengo na madhumuni ya Icj tukajua unachosema wee mbulula keng.e kasoro mki.aa
 
Huko South Sudan,Burundi, drc na kwingineko hawaijui hii mahakama isipokuwa ukawa tu????? :thumbdown:😀
 
ni kweli kabisa! ccm na hesabu nimafuta na maji! ndo maana ujenzi wa shule za kata haukuwa kwenye 'budget'
 
Sitakaa nipige kura tena maana"we vote they select"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…