LexAid
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,931
- 774
Nimekupa Like ila nimevunja laptop yangu kwa kufuata ushauri wako wa kuangalia picha upside down.....I blame you for that kwani umenipata.
Nunua kitu ya kisasa mkuu. Unaweza kuflip screen bila kuzungusha mtambo.