elbarik
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 576
- 395
kila kitu na wakati wake....mbona jambo la njaa jambo ndogo sana hilo? hiyo tu ni dam na acre millioni kadhaa ya irrigation kwa sababu hatukubarikiwa na mvua kule North eastern...baada ya hayo njaa kwisha!Ondoa njaa Kenya kwanza ndo ubishane na Wanaume