ICC: Ruling clears way for full trial of four suspects

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Kesi ya Uhuru, Ruto, Sang na Muthaura zimeamuliwa kuendelea na hakuna sababu ya kukwamishwa na rufaa zao wahusika.......................nionavyo nchi za magharibi zinataka kushinikiza Raila kuwa Raisi wa Kenya...................I see the Obama hand in this..............
 
Whatever the west plan, the final verdict lay in the hands of Kenyan voters.

Lets wait and see.

I wonder why the ICC is only convicting Africans. When is the ICC going to hold Natanyahu, Tony Blair and George Kichaka accountable for their atrocities?
 
Kesi ya Uhuru, Ruto, Sang na Muthaura zimeamuliwa kuendelea na hakuna sababu ya kukwamishwa na rufaa zao wahusika.......................nionavyo nchi za magharibi zinataka kushinikiza Raila kuwa Raisi wa Kenya...................I see the Obama hand in this..............

The ICC naona ni chombo cha kushinikiza malengo ya western governments. Sidhani Obama has anything to do with ICC, lakini naona mashtaka yanaegemea upande wa riftvalley na Naivasha, lakini nyanza hailimbikiziwi lolote. Kuna wale wakimbizi waliotorokea uganda kutokana na taharuki iliyotokea huko wanaifanya @ the most appropriae time wakati wa miaka ya uchaguzi. Kama unavyosema ni kitu kinachohusiana na hicho. Halfu, the Somali case wakati huu ni jambo kama hilo, waingereza wanashinikiza umoja wa wasomali as "political Agenda" kwamba military solution cannot wotk. Uganda kupitia Amisom wame fanya Mogadishu Ikawa huru na uhuru huo umeletwa na majeshi kujitosa katika vita.

So its not a serious organ but to instll or superimpose there wishes.
 
Kesi ya Uhuru, Ruto, Sang na Muthaura zimeamuliwa kuendelea na hakuna sababu ya kukwamishwa na rufaa zao wahusika.......................nionavyo nchi za magharibi zinataka kushinikiza Raila kuwa Raisi wa Kenya...................I see the Obama hand in this..............

Mkuu how?, ina maana nchi za magharibi ndiyo zilishinikiza Kivuitu aibe kura na kuamrisha polisi waue raia ili baadae kumfanya Raila awe rais wa Kenya?. Connections zako don't add up. You have written this with a smack.
 
Back
Top Bottom