Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,808
- 165,568
Mkuu,Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkiuu?
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Tunelekea mwezi wa 5 huu sasa wako kimya, Je, huoni kuna shida hapa?Mkuu,
Umesoma kitabu gani, chapisho gani kubusu ICC inavyofanya kazi?
Naona kama Watanzania wengi wanakwenda kwa assumptions sana bila kutazama facts.
Una mfano wa kesi iliochukua miaka 3 kuanza kusikilizwa?Icc hawajawah kuweka hadharani mfumo wao wa ufanyaji kazi,kuna muda kesi inakua silent mpaka miaka 3 then wanaibuka na kumwajibisha mshtakiwa...
Vuta subra tutajua ukweli muda ukifika
Uphilipino sema JK alitegeneza connection kubwa sana sasa kama mtu Obama ni rafiki yake Gorge W bush mwanae wakina Tony brea Jk ndo tatizoUna mfano wa kesi iliochukua miaka 3 kuanza kusikilizwa?
Anyway, muda utasema.Uphilipino sema JK alitegeneza connection kubwa sana sasa kama mtu Obama ni rafiki yake Gorge W bush mwanae wakina Tony brea Jk ndo tatizo
Una mfano wa kesi iliochukua miaka 3 kuanza kusikilizwa?
Jean pierre bemba..Una mfano wa kesi iliochukua miaka 3 kuanza kusikilizwa?
Hujajibu swali langu.Tunelekea mwezi wa 5 huu sasa wako kimya, Je, huoni kuna shida hapa?
Kwa ule ukatili, kitachponya mioyo ya watanzania ni kuona wahusika wanawajibika na si vinginenyo.Mambo yake iachie yenyewe
Endeleeni kuimba 'Mungu Wabariki Wazungu 'Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko kimya mpaka leo huku ikionekana kukutana na watu ambao ni wateule wa mtuhumiwa mkuu?
Kukutana sio kosa, ila huu ukimya unaanza kutupa mashaka.
Au wanasubiri uchunguzi wa tume ya Samia?
Kama wanasubiri huo uchunguzi, hawa watu kweli wako serious?
Anyway, mnaojjua hii mahakama inavyofanya kazi hebu tusaidiane labda kuna mambo sisi wengine hatuyajui kuhusu utendaji kazi wa hii mahakama.
Rodrigo Duterte , dikteta na muuaji wa Philippines, kakamtwa mwaka 2025 mwezi March kwa makosa aliyofanya kati ya 2011 na 2019 .Una mfano wa kesi iliochukua miaka 3 kuanza kusikilizwa?