Kagame is like many strong and smart people, they are the engineers of their own demise
hakuna kiongozi kama yeye when it comes to setting goals, developing strategies and implement actions to achieve his goals, kila nilipopata bahati ya kukaa na watu wa international development na tukianza kuongea mambo ya Africa, he is next to none... governance, clients service, responsible and accountable government officers, contracts management, keeping his words, environment protection, urbanization, investment attraction, quick turn around you name it
However, his biggest challenge is to know his limit, and to to be patients
hats of his success, but a 'watch out dude" to his hasty decisions
Hana jipya, ni wale wale madikteta. Mwizi mkubwa huyo, arejeshe mali alizopora kwanza.
hii sio njia sahihi ya kuchambua matendo ya kagame.ukiweka mada ya jinsi kagame anavyosimamia nchi ya Rwanda ikawa pamoja na jinsi kagame alivyoingia madarakani utakua na lengo la kumtetea zaidi.kiuchumi kagame amefanya makubwa na anaona mbali sana,ni kiongozi/mtawala anaemaanisha,lakini hilo halitoshi kumuondolea ubaya aliofanya.na ICC ni chombo kinachowashughulikia watawala wanaomwaga damu za watu,sasa kagame atasaini hapo?
Kagame alionekana "DIKTETA" Kutoungamkono ICC leo nchi kibao zinataka kujitoa….. Naamini i[po siku kwahii issue ya congo pia Kagame Tutamuelewa tu..
Watanzania bana!Wakati mwingine tunaonekana kama vile mazuzu.Tunajifanya tuna uchungu na rasilimali za Wacongo wakati za kwetu wenyewe tunashindwa kuzilinda.Wakenya wanatupiga bao na Tanzanite zetu kule Arusha na tumeridhika tu wenyewe,Tembo wetu wanauawa kila siku,Wanyama wanatoroshwa Nchini kupitia Ndege lakini hatuonekani kujali utafikiri sisi sio Watanzania vile sasa huu uthubutu wa kuwa na uchungu na rasilimali za Wacongo tunautoa wapi tena?
Hivi Kaka yupi Bora kati ya hawa Wawili??
1.tajiri sana kutokana na mali nyingi ya urithi waliyoachiwa (yeye na wadogo zake)na marehem baba yao...Ni mbinafsi mno kiasi kwamba amejikuta AKIWADHULUMU wadogo zake kwa kuuza mali karibu yooote kwa kuendekeza anasa akiamini naye atafariki siku yoyote huku wadogo zake wakishindia mihogo kila siku...Mind you MALI inakaribia kuisha
2.Huyu nae ana wadogo zake,bahati mbaya baba yao kafariki na hakuwa na MALI yoyote ya kuwaachia Urithi...Anawapenda sana wadogo zake,amefikia hatua ya kwenda KUDHULUMU mali ya jirani yake ambayo ni kama SHAMBA LA BIBI na kuhamishia kwao akiamini nae siku yoyote atafariki anahitaji kuwaachia mali na misingi bora wadogo zake...Mind you MALI imekua nyingi na inaendelezwa na kusimamiwa vizuri