engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Hakuna kitu hapoThis information must be from a government newspaper! Withdrawing is not a new phenomenon; The duo must face the consequences although they are now big potatoes in Kenya...
Kwa maana hiyo kama Prosecutor hakufanya upelelezi kwa kina, Judge anajiondoa? Hawa ndio ndio majaji wa ICC?
Huyo judge ni mnafiki tuu. kama amegundua kuwa kuna injustice kwenye hilo shauri , asingejitoa angeendelea mpaka mwisho na kutoa hukumu kutokana na ushahidi uliotolewa ili hukumu yake ionyeshe mapungufu hayo
Mimi ninavyofahamu, judge hujitoa pale ambapo ataona hatatoa haki kwa kuwa bias na si kwa upelelezi au ushahidi mbovu.Majudge hula kiapo cha kutenda haki bila woga au kupendelea. Sasa jibu ninalolipata kwa huyu judge ni kwamba ameogopa mashinikizo ya nchi za kimagaribi.Hii ina maana kwamba bado hajaweza kutimiza wajibu wake wa haki kwani atakayekuja badala yake anaweza kuwa ni mtu wao na kutoa hukumu mbaya kwa hao viongozi wetu
Mimi ni mara yangu ya kwanza kushuhudia uendeshaji ya mahakama ya ICC kupitia hii kesi lkn nilifikifi mahakama ilipoconfirm charge against them kwenye pre trial chamber na jinsi ushahidi na vielelezo vilivtokuwa vinatolewa sikufikiria kuwa watacollect evidence nyingine zaidi ya akina uhuru kujitetea.na akili yangu ilinituma kuwa tayari prosecutor alikwisha prove prima facie case?kile kinachowatatiza ICC ni kukosa ushaidi inayotosha kuwakamata washukiwa, maana unapotizama kesi nyingi za ICC huendeshwa kwa muda mrefu sawa na ile ya charles taylor.
Mimi ni mara yangu ya kwanza kushuhudia uendeshaji ya mahakama ya ICC kupitia hii kesi lkn nilifikifi mahakama ilipoconfirm charge against them kwenye pre trial chamber na jinsi ushahidi na vielelezo vilivtokuwa vinatolewa sikufikiria kuwa watacollect evidence nyingine zaidi ya akina uhuru kujitetea.na akili yangu ilinituma kuwa tayari prosecutor alikwisha prove prima facie case?
This information must be from a government newspaper! Withdrawing is not a new phenomenon; The duo must face the consequences although they are now big potatoes in Kenya...