Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
- Thread starter
- #101
Unless ukithibitisha kuwa Richmond na Dowans walichange hands kabla ya Tanesco kuarifiwa, then kwa kukitumia kipengele hicho pekee, kingeweza kuufanya mkataba kuwa void, only if Tanesco angetaka kuuvunja, as long as Tanesco hakuwahi kutaka kuuvunja kwa sababu hiyo, lakini baadaye akauvunja kwa sababu nyingine, kwa sasa hawezi tena kutaka kurudi nyuma kuwa mkataba ule sio halali.
Sijui niseme vipi.. TANESCO ALIFICHWA NA RICHMOND NA DOWANS juu ya kupeana mkataba kwao. Tanesco asingeweza kuvunja mkataba kwa kipengele hicho kwani haikujua kuwa tayari mkataba umeahulishwa. Mimi ndio ninaripoti na kuhusisha yote mawili sasa. Hata kina Mwakyembe muda wote wa uchunguzi hawakujua mkataba ulikuwa tayari umekabidhiwa; hata ICC haikuambiwa kuwa mkataba wanaozungumzia uhalali wake siyo ule wa Disemba 23, 2006 ambao Tanesco iliridhia (in good faith) bali ule ulioipa nguvu Dowans kuchukua mkataba wa Richmond uliofanywa kwa siri kabla Tanesco hawajataarifa. Hivi nazungumza lugha ngumu sana hapa jamani?