ICBC Standard Bank failed to prevent bribery at Tanzanian unit - SFO

ICBC Standard Bank failed to prevent bribery at Tanzanian unit - SFO

Noooo...Yule wa Lowassa anaitwa Hawa Sinare....Huyu ni Shose Sinare, ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania..Kwanza pesa akina Shose walizokusanya sio USD 6m bali ni USD 600m. Na walizikabidhi serikalini ambapo waziri wa fedha kipindi hicho aliyezipokea ni Mgimwa...Pesa zilikabidhiwa kwa serikali ya JK ila njia ambayo serikali ilitumia kutafuta pesa kwenye masoko ya hisa kupitia hiyo bank ndio iliyokua haramu...
Pitia uzi huu kwa habari yenyewe,...

http://michuzijr.blogspot.com/2013/04/stanbic-bank-and-tanzania-in-usd600m.html

Nimeiona hii ngoma imeelezwa vizuri hapa
British court approves landmark plea deal over Standard Bank bribery | 4-Traders
 
Bashir Awale na Shose Sinare ni washauri wa karibu wa Lowassa.

Nchi yetu imeepuka majanga sana!

God still loves Tanzania!

Nilipokuwa nasema Jambazi Sugu kazi linaloweza ni ya kuchunga ng'ombe wengi hawakunielewa. Signature yangu ya zamani nilipokuwa nachema rais anafunga mafisadi Magogoni wengi hawakunielewa. Sasa tumebaki kuwategemea wazungu ati ndio wawashughulikie majambazi Sugu yanayotuibia nyumbani kwetu. Ni aibu na fedheha. Ninasema hivi regulator wa Benki Tanzania amekwisha watoza faini mabenki yaliyoota kama uyoga kiasi gani kwa kuvunja sheria? Je, kama hatuna bank regulator tunasubiri nini? Kama hatuna Regulator wa simu tunasubiri nini? Tunatakiwa tujifunze kutoka kwa wenzetu na tuwe makini kudhibiti wizi kabla haujatokea na ukitokea faini zake ziwe za kuwakomoa ili wasirudie. The point in question ni hili sakata la makontena ambayo hayakulipiwa kodi. Faini yake iwe ya kufa ntu ili wengine wasijaribu. UK, USA kila uchwao faini zinapigwa kishenzi kwa wale wote wanaojaribu kucheza na system.
 
attachment.php
 

Attachments

  • escrow-eva.png
    escrow-eva.png
    16.1 KB · Views: 179
Wameshasema hiyo kampuni mwenye share kubwa ni kamishna wa zamani wa TRA
 
Back
Top Bottom