IC no sta540sa inatakiwa

IC no sta540sa inatakiwa

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Natanguliza salam,
Kwa wadau wa electronics, natafuta integrated circuit namba sta540sa, nimejaribu sehemu kadhaa nimekosa kwa Dar, kvd na baadhi ya maduka... naombeni msaada kwa mwenye nayo, au pia nifahahishwe kama kunaweza kuwepo ic nyingine inayoweza kutumika badala ya hii (equivalent) .

Asanteni.
 
quad.png
Kuna wadau humu jamvini wananunua vitu nje ya nchi ebay, amazon, alibaba n etc waone wanaweza kukusaidia. kukuagizia
 
View attachment 234261
Kuna wadau humu jamvini wananunua vitu nje ya nchi ebay, amazon, alibaba n etc waone wanaweza kukusaidia. kukuagizia

Asante sana kwa ushauri mkuu h120, naombeni mwenye kuweza kunisaidia afanye hivyo au nipe ID zao niweze kuwatag mkuu

Asante tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom