ibrahim shayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Shayo apongeza serikali kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Urusi kwa kuanzishwa safari za ndege za Moja kwa moja

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Ibrahim Mohamed Shayo (maarufu kama Ibraline), ameishukuru na kuipongeza Serikali kwa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na utalii kati ya Urusi na Tanzania kupitia ufunguzi wa ruti mpya ya ndege. Katika maelezo yake kuhusu fursa hizo zilizotokana na ushirikiano...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ibrahim Shayo aahidi kutokomeza changamoto ya taka Moshi Mjini

    Mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Mjini , kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Shayo amezungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Kampeni za ubunge wa jimbo hilo uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi. Ibrahim Shayo maarufu kama Ibraline ametoa ahadi mbalimbali...
Back
Top Bottom