Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

naona dalili za CHADEMA kuimarika zaidi baada ya Maalimu sefu kuiunga CHADEMA na kuchukuwa wengi wa wafuasi waliokuwa wa CUF bara na visiwani
 
Dah..Nilikuwa siamini kama idadi itafika 400,000 ....
 
Marufuku kufanya siasa mpaka 2020.
LIPUMBA awekwe ndani.
 
Hela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
weka akiba ya maneno na usije ukabadili gia angani
 
Hela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
Hata Lowassa mlimtukana weee, lakini hivi sasa ni boss wenu na mmeufyata
Chunga kauli zako.
Ha ha ha.
 
Kama kweli wewe ni mtanzania unaejinasibu kufuatilia siasa za Tanzania,ungeanza kuwashangaa chadema kwanza,kabla ya Lipumba
 
Oooh Lipumba analala ofisini hatoki anaogopa ofisi kutekwa,kiko wapi sasa?,kwa nini bavicha mnaumizwa sana na Lipumba kuliko kafu wenyewe?
 
kula tano mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…